Aziz ki kutimkia mamelodie sundowns
Kiungo shambuliaji wa klabu ya yanga raia wa Burkinafaso Stephan ki Aziz amefunguka kuhusiana na kocha wa klabu ya mamelodi sundowns mokwena ambaye baada ya mechi ya robo fainali kocha huyo alimfata aziz ki na kumwambia wewe ni mchezaji mzuri fantastic maamuzi haraka ujiunge na kikosi changu ikumbukwe kuwa goli la aziz ki alilolifunga pale South Africa dhidi ya mamelodi sundowns bado linafanyiwa uchunguzi I<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-6231822996009959" crossorigin="anonymous"></script>